Mjumbe kutoka chama cha watu wenye ulemavu (People with disability) Mkoa wa Morogoro (SHIWAMATA) kutoka Kata ya Tungi ndugu Ally Juma (katikati) akizungumza na Mwenyekiti Care Youth Foundation ndugu Joseph Mlay na Katibu ndugu Obed mtagulwa (kushoto) nje ya ofisi za Care Youth Foundation. Lengo kuu la mazungumzo ni kuweka uhusiano wa karibu baina ya taasisi hizi mbili katika kufanya shughuli za kijamii
SHARE