SHARE
Home >
>
Mratibu wa The Heed Umea, Ndugu james Aloyce (wa tatu katikati) alipotembelea Asasi ya vijana ya Care Youth foundation na kukutana na baadhi ya viongozi wa Asasi wakiwemo waratibu wenzake Amiri Dismas (wa kwanza kulia) na Bi Suzan Samwel (wa kwanza kushoto) ambao waliweza kubadilishana uzoefu wa kazi hasa namna ya kutafuta fursa mbalimbali kwa maslahi ya vijana na jamii nzima.