Safari ya Kuelekea Duthumi kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Mwl Nyerere 2014
Hapa ni baadhi ya wajumbe wa Asasi ya Care Youth Foundation, Building Africa (BOA) na waandishi wa habari (Azam tv) wakionyesha bango lenye ujumbe wa kuwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu siku ya Nyerere day
SHARE