SHARE
Home >
>
Mwenyekiti wa Care Youth foundation ndugu Joseph Mlay na Mratibu ndugu Amiri Dismas wakisalimiana na wadau mbalimbali waliotembelea Banda la Care Youth Foundation wakati wa maonesho ya vijana kuelekea siku ya vijana Kimataifa iliyoadhimishwa Kitaifa Mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti 2017