Akinamama wajasiriamali (Women Entrepreneurs) wakiongea na Mwenyekiti wa Care Youth Foundation mara baada ya kumaliza mafunzo ya ujasiriamali yaliyofanyika jijini Dar Es salaam kwa lengo la kuwapa elimu ya kuifadhi fedha na kuongeza mtaji wa biashara.
SHARE