Afisa maendeleo Kata ya Tungi Ndugu Deogratias Kizeba akifungua rasmi Kampeni ya LENGO LANGU tarehe 27 Julai 2017 katika shule ya sekondari Nanenane iliyopo Kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro. Kampeni ya LENGO LANGU inaendeshwa na Asasi ya Care Youth Foundation katika shule za sekondari Manispaa ya Morogoro, ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu Madhara ya mimba za utotoni kupitia midahalo kwa kushirikisha wanafunzi.
SHARE